TIC kuongoza kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara jijini Dar
Mkurugenzi
wa Huduma wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Bi.
Nakuala Senzia (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku
mbili la uwekezaji na biashara linalotarajiwa kuanza
kesho jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni
Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe, (katikati) na
kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic
Tanzania, Bw. Paul Omara. Benki hiyo ndiyo inayodhamini
mkutano huo.
Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe akizungumza
na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na
kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara
linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam.
Post a Comment