JAMII: Ongezeko na gharama ya mifuko ya plastiki kwa mazingira
Australia hutumia zaidi ya dola milioni 2 kwa mwaka kuokota takataka za
mifuko ya plastiki, licha ya kuwa yenyewe ni moja ya nchi zilizoendelea,
hii ikimaanisha kuwa hali ni mbaya zaidi kwenye mataifa masikini.
Katika makala hii ya Mtu na Mazingira, Anuary Mkama anaangazia ongezeko
la uchafu wa mifuko ya plastiki duniani na gharama yake kwa mazingira na
viumbe vyenye uhai, hasa samaki na wale wanaotegemea bahari kwa maisha
yao ya kila siku.Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Post a Comment