SIASA:Bunge Tanzania laweza kuzuia ufisadi?
Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow inazidi kuchukuwa nafasi nchini
Tanzania baada ya bunge la nchi hiyo kumtaka mkaguzi mkuu wa serikali na
taasisi ya kupambana na rushwa kuchunguza uchotwaji wa shilingi bilioni
200.
Maoni Mbele ya Meza ya Duara inauliza ikiwa upo uwezekano wa bunge la
Tanzania kuwa taasisi imara kusimamia fedha za umma na rasilimali za
nchi. Je, upo uthubutu na utayarifu huo?Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Post a Comment