SHERIA: JAJI MKUU AWATUNUKU VYETI MAWAKILI WAPYA JIJINI DAR
Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande (katikati)
akiwaongoza majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya
kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili
wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini
Dar es Salaam
Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande akiwatunuku vyeti
baadhi ya Mawakili wapya waliokubaliwa na kusajiliwa leo
kwenye viwanja vya Katimjee,Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment