IKULU: RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa
mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania
cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A
lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha
ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo
Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba
baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni
hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza
swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara
wake.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa
mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania
cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A
lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha
ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo
Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba
baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni
hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali
kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Pichani Rais Kikwete akijibu maswali kutoka kwa
wanafunzi baada ya mhadhara wake
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Wahadhiri na
wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha ulinzi (National
Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar
es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu
Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo.
Post a Comment