Sibuka TV: wanachama wa shirika la hali ya hewa nchini wameadhimisha si...
DAR ES SALAAM
wanachama wa shirika la hali ya hewa nchini wameadhimisha siku ya hali ya hewa dunianikwa
kupanda miti ili kuonyesha umuhimu wa kutunza mazingira kama njia mojawapo ya
kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
kupanda miti ili kuonyesha umuhimu wa kutunza mazingira kama njia mojawapo ya
kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini dare s salaam
mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya
hewa tanzania DKT.AGNES KIJAZI
amesema kuwa wameshirikiana na wakala wa
misitu kupandamiti ambapo wakala wa misitu wametoa miche ya miti inayotarajiwa
kuoteshwa sehemu mbalimbali nchini.

Post a Comment