CCM DAR WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky
Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua
maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es
Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa ufadhili wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa nne kushoto ni Meneja
Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo. (Picha
na Francis Dande)
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky
Sadick (kulia), wakiwasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi
wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Mhandisi John Msemo (kulia), akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi huo.
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
wakimsikiliza Menja Mradi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni
Mhandisi, John Msemo.
Taarifa za ujenzi.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, ramadhani Madabida
akifafanua jambo baada ya kupata maelezo ya ujenzi wa
daraja la Kigamboni.
Mkuu wa Mkoa akifafanua jambo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiuliza swali kuhusu mradi huo.
Mhandisi
John Msemo akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa Daraja la
Kigamboni kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa
Dar es Salaa walipofanya ziara ya kuangalia maeledelo ya
ujenzi wa daraja hilo.
Mhandisi
John Msemo akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Daraja la
Kigamboni kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa
Dar es Salaa walipofanya ziara ya kuangalia maeledeleo ya
ujenzi wa daraja hilo.
Msimamizi wa mradi huo Mhandisi Karim Mataka akielekea katika eneo la ujenzi wa daraja.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akiwa katika ziara hiyo.
Mhandisi John Msemo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick
Wajumbe wakikagua maendeleo ya ujenzi.
Wajumbe wakikagua maendeleo ya ujenzi.
Eneo la ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiwa
na Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo, Mhandisi John
Msemo wakati wa kuangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja
hilo linalojengwa na NSSF kwa kushirikiana na Serikali.
Mhandisi Msemwa akitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Moja ya nguzo za Daraja hilo.
Ufafnuzi ukitolewa na Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja hilo Mhandisi Karim Mataka.
Mhandisi John Msemo akitoa maelezo kwa Wajumbe hao.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa pili kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa tatu kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo.
Wajumbe wakiwa katika ziara hiyo.
Baadhi ya barabara za kuingia katika daraja hilo.
Mhandisi John Msemo kutoka NSSF akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Daraja hilo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika eneo la Ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Meneja Mradi Daraja Kigamboni Mhandisi John Msemo (wa pili kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge.
Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick.

Post a Comment